Nukta Fakti

Examining social media narratives and misinformation

All
Data
Debunking Stories
Education Stories
Infographics

Fact Check · February 20, 2024 4:44 am

Si kweli: Watu saba wapofuka macho kisa ‘Red Eyes’

Serikali yasema vyombo vya habari vimepotosha taarifa yake.
Yasema matumizi ya tiba isiyo sahihi ya ugonjwa huo ndio yanaweza kusababisha upofu.
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara.

Fact Check · January 24, 2024 4:44 am

Si kweli: Vidonge vya paracetamol vina Virusi vya Machupo

TMDA ilishakanusha uwezekano wa virusi hivyo kukaa kwenye vidonge.
Aidha dawa hiyo haijasajiliwa kuuzwa hapa nchini Tanzania.

Fact Check · January 18, 2024 1:32 pm

Si kweli: Mtu ajirusha ghorofa ya nne hoteli ya bondeni Magomeni Tanzania

Ni Mombasa nchini Kenya.
Uchunguzi wa Nukta Fakti umebaini chanzo si fumanizi kama ilivyoelezwa awali.

Fact Check · January 18, 2024 10:53 am

Si kweli: Maji yaliyo gandishwa yanua vijidudu vya kipindupindu

Wataalamu wasema vijidudu vya kipindupindu huzaliana zaidi vikiwa kwenye maji ya baridi au yaliyoganda

Fact Check · January 9, 2024 9:28 am

Hapana: Ofisi ya Waziri Mkuu haitoi mikopo kwa wananchi

Yasema haitambui kampuni ya Branch Mikopo inayodaiwa kutoa mikopo hiyo kwa udhamini wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

Fact Check · January 3, 2024 2:50 pm

Sio kweli: Thabo Mbeki hajafariki dunia

Taarifa zaeleza ni mzima na ana afya njema.

Fact Check · September 30, 2023 9:13 pm

No conclusive evidence that eating sugary foods causes dandruff

Dandruff is a common skin condition that causes white or grey flakes of skin to appear on the scalp and in the hair.

Fact Check · September 5, 2023 9:16 am

Si kweli: Spika wa Gabon hajakamatwa akitoroka na hela baada ya mapinduzi

Video zinazosambaa zilichapishwa tangu mwaka 2022.
Ni Spika mstaafu wa Bunge la Gabon aliyekamatwa akiwa na zaidi ya Faranga bilioni moja.

Fact Check · August 18, 2023 8:38 am

Si kweli : Taasisi ya Mohamed Dewji Foundation haitoi mikopo

Taasisi ya Mohemed Dewji hutoa ufadhili wa elimu, upatikanaji wa maji na utatuzi wa changamoto za afya.
Video iliyoambatanishwa na taarifa za utoaji mikopo si halisi, imehaririwa.

Fact Check · August 16, 2023 2:37 pm

Si kweli: wanafunzi wenye ufaulu chini ya GPA 3.8 hawaondolewi sifa ya kupata kazi

Taarifa hiyo inayosambaa katika mitandao ya kijamii imeiga mfano wa chapisho ‘poster’ zinazo chapishwa na chombo cha habari cha Jamii Forum ikiwa imenukuu sehemu ya maneno ya Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda.

Fact Check · May 25, 2023 2:45 pm

Tanzania itakavyonufaika na mradi wa umeme wa Kikagati-Murongo

Utasaidia kukua kwa uchumi na upatikanaji wa huduma za kijamii.
Rais Samia asema utaongeza usawa wa maendeleo kati ya mijini na maeneo ya pembezoni.

Fact Check · April 13, 2023 12:20 pm

Kipindupindu kina chanjo?

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kuwa kuna chanjo aina tatu zinazoweza kumkinga mtu na kipindupindu ikiwemo ya ‘Shanchol’ na Euvichol-Plus.

Fact Check · April 12, 2023 2:35 pm

Usichukulie poa, Uviko-19 bado upo Tanzania

Zaidi ya watu 42,000 wameambukizwa ugonjwa huo tangu uingie mwaka 2020 huku 846 kati yao wakifariki dunia.

Fact Check · April 11, 2023 12:23 pm

Chanjo ielekezwe kwa walio hatarini kupata Uviko-19

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeendelea kusisitiza kuwa chanjo dhidi ya Uviko-19 ielekezwe katika maeneo yenye hatari kubwa ya kupata ugonjwa huo ili kuokoa maisha watu.

Fact Check · March 16, 2023 1:05 pm

Uviko-19 bado unaitesa dunia

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hadi kufikia Machi 16 mwaka huu watu milioni 6.8 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo unaosambashambulia mfumo wa hewa.